MAFUNZO YA ADOBE PHOTOSHOP 2021
Hellow!! Naitwa Joel Kadaga Creative Graphics Designer, nina uzoefu wa miaka kadhaa katika kufanya projects mbalimbali binafsi za wateja wangu pamoja na kmapuni mbalimbali, nimewekeza muda wangu mwingi katika kujifunza, kufanya project mbalimbali pamoja na kuandaa mafunzo mbalimbali ili kuwasaidia wengine kujifunza na kukuza career zao
Nakukaribisha katika mafunzo haya ya Adobe Photoshop maalumu kwaajili ya beginner au yeyote anayeanza kabisa kujifunza graphics design. Utajifunza jinsi ya kutumia adobe photoshop kuanzia mwanzo mpaka mwisho na baada ya mafunzo haya utakua na uwezo wa kufanya mambo mengi kama designer ndani ya Photoshop interface.
Adobe photoshop ni software mama kwa designer wengi Graphics designer, 3d artist/designer, Motion designer, Web designer, Photographer, videographer nk hivyo ni muhimu sana kujifunza software hii ikiwa upo au unategemea kuingia katika tasnia ya ubunifu wa kidigitali.
Katika kila chapter kuna mazoezi ambayo ni muhimu kuyafanyia kazi
00. Utangulizi wa mafunzo
01. Requirement to get started
02. Opening Photoshop and setting up document
03. Photoshop Interface
04. Shortcuts mbalimbali
05. Tools mbalimbali
06.Jinsi ya kubadilisha color mode RGB & CMYK NK 8bits,32bits,16bits, auto tone, Constrast, Image size nk
07. Layers Submenu ( Windows-character, properties nk
08.Fahamu kuhusu canvas, artboards layers na group ndani ya photoshop
09.Utangulizi na kuhusu selection tools
10. Quik selection tool
11. Subject selection tool
12. Marque tools (Eclipe & Rectangular)
13. Matumizi ya Brush tool (Healing & Sport healing Brush)
14. Matumizi ya Pentool
15. Jinsi ya kutumia Text tool
16. Tengeneza Shape mbalimbali (Rectangular, eclipse, triangle nk)
17. Crop tool ndani ya Photoshop (Crop and Content aware )
18. Jinsi ya Kufanya layer Transformation
19. Create artboards and group in photoshop
20. New layers, Namna ya kupangilia layers
21. Brending mode katika photoshop
22. Ifahamu blending option ndani ya Adobe Photoshop
23. Ifahamu Layer mask ndani ya photoshop
24. Adjustment layer inabeba effects mbalimbali ( Brightness, Levels, Curve, Vibrance and saturatution, Hue, Photo filtes Vyote hivi viende sambamba na Image mode katika sehemu ya juu)
25. Smart objects layers
26. Mambo ya kuzingatia unapoanza projects ( Vipimo, ni kazi ya print nk, matumizi ya Ruler
27. Mambo ya kuzingatia unapoxeport kazi
28. Matumizi ya Type Pannel
29. Select panel ndani ya photoshop
30. Matumizi ya Filter ndani ya photoshop ( Filter galley, Perspetive wide angle filter, Camera Raw Filter, Lens correction filter, Liquify filter, Blur Filters, Distortion Filter, Noise Filter, Pixrates filter, Render filters,
31. Layers Submenu ( Windows-character, properties nk
32. Jinsi ya kutawala layer interface (make smart objects, flatten, opacity, choose color label, delete nk
33. Gradient overlay yenyeb muonekano wa 3d
34. 3 dimension ndani ya Photoshop
35. Photo retouch (Frequency separation) Several ways
36. Advanced color range selection
37. Clipping mask in photoshop
38. Principles of design
39. Jinsi ya kufanya project ndani ya photoshop (poster, flyer, ticket nk
40. Jinsi ya kutengeneza background katika photoshop
41. Jinsi ya kuwarp maaandishi, kuandika maandishi kuzunguka duuara au kufauata line Fulani
42. Kuweka maandishi nyuma ya object
43. Hair selection
44. How to blend logo in realistic mockups
45. To remove object & text in photoshop
46.Put image inside other objects (bottles)
47. Mockups and other templates to sell online
48. Sky replacement
49.Nini ufanye baada ya kumaliza kozi
50. Creating moving smoke/fire endless
51. Hitimisho